Timu yetu
Viongozi wa S.E.W.F: Mwenyekiti Lulu Enock Marwa, Katibu Mtendaji Timotheo Paul Timotheo na Mhazini John Stephen Waigama.
| Jina | Nafasi |
|---|---|
| Lulu Enock Marwa | Mwenyekiti · Wakili |
| Timotheo Paul Timotheo | Katibu Mtendaji · Mwanasheria |
| John Stephen Waigama | Mhazini |
| Isack Yohana Nyaimaga | Mwanachama · Wakili |
| Erick Balthazar Kimaro | Mwanachama |
Mwenyekiti ndiye msemaji wa shirika na husimamia kazi za kila siku. Katibu Mtendaji hushughulikia barua, kumbukumbu na maombi ya uanachama. Mhazini husimamia fedha na hesabu za shirika.